• FUNGAMANO LA ELIMU NA DINI "2"

  Suala la fungamano la Dini na Elimu ni mjadala wenye muda mrefu ambapo inasemekana ni toka mnamo karne za katika palipotokea nadharia ya kupinga uwepo na ukweli wa Dini kwakuwa tu mafunzo ya Dini haziendani na tija za tafiti ambazo hutoa majibu ya uhakika, na kutoka na kauli mbiu hii kuwa Din

  Endelea ...
 • FUNGAMANO LA ELIMU NA DINI "1"

  Suala la fungamano la Dini Elimu ni mjadala wenye muda mrefu ambapo inasemekana ni toka mnamo karne za katika palipotokea nadharia ya kupinga uwepo na ukweli wa Dini kwakuwa tu mafunzo ya Dini haziendani na tija za tafiti ambazo hutoa majibu ya uhakika, na kutoka na kauli mbiu hii kuwa Dini...........

  Endelea ...
 • Urusi na Iran zaleta amani kwa wananchi wa Syria

  Hapo awali Marekani na washirika wake walitangaza kampeni feki ya kupambana na magaidi nchini Syria, lakini baadaye ikagundulika kwamba kampeni hiyo haikuwa na lengo la kupambana na magaidi bali ilikuwa na lengo la kuwasidia magaidi kwani ndege za majeshi ya Marekani zimekuwa zikiwashambulia askari wa Iraq na Syria na kuwashushia misaada wapiganaji wa Kundi la kigaidi la Daesh na wapiganaji wa makundi mengine.

  Endelea ...
 • Shaaban Robert Fasihi wa pekee

  Shaban Robert ni mshairi, fasihi na mwandishi mahiri ambaye anamchango mkubwa katika kuendeleza tamaduni na lugha adhimu ya kiswahili, Shaaban Reobert ni fahari ya Tanzania.

  Endelea ...
 • Tukio la kusikitisha la Karbalaa

  “mimi siko hapa kwa ushari, au kutaka ugomvi ila niko hapa kwa ajili ya kurejesha heshima ya dini tukufu ya babu yangu mtume Muhammad s.a.w, niko hapa kuamrisha mema na kukataza uovu, niko hapa kusahihisha itikadi na imani za waislamu”.

  Endelea ...
 • Sehemu ya pili

  JE KUNA UMUHIMU WA KUWEPO DINI?

  Katika harakati zote za kidini tangu enzi za manabii, mpaka hivi sasa, kumewepo na wapinzani wa dini, wapinzani wa dini wamekuwa na hoja mbali mbali katika upinzani huo. Wapinzani wa dini tunaweza kuwagawanya katika makundi mawili. Wapinzani wa dini wa zamani (enzi za manabii) na wapinza wa dini wa sasa

  Endelea ...
 • Siku ya Ghadir

  Tukio la hija ya mwisho ya Mtume Muhammad s.a.w

  Ghadir

  Hijja hii ilihudhuruwa na maswahaba wengi sana, inasemekana kuwa idadi yao ilikuwa takriban watu laki moja na ishirini na nne elifu (124000), watu hawa katika siku ya jummamosi tarehe 24 mwezi wa Dhilqa’adah wakiwa sanjari na mtume Muhammad s.a.w waliongozana kuelekea katika mji mtukufu wa Makka kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya hijja.

  Endelea ...
 • Maajabu ya Imamu Jaafar [a.s.]

  Ni kisa cha Imamu Jaafar Swadiq alipokutana na Mganga wa kihindi, na kujiri mazungumzo yenye mafunzo ya ajabu kutoka kwa Imam Jaafar Swadiq ambayo yalimstaajabisha Mhindi huyo.

  Endelea ...
 • Siku ya Quds

  siku ya Quds ni siku ya kimataifa ya utetezi wa raia madhulumu wa Parestina.

  Endelea ...
 • sehemu ya tatu

  Ukweli kuhusu Kifo

  Je, Uhalisia wa mwanadamu ni mwili wake? Kiasi kwamba sehemu ya mwili ikipungua au kutoweka je? itamaanisha kutoweka,kupungua sehemu ya ubinadamu wake?

  Endelea ...
 • sehemu ya pili

  Ukweli kuhusu Kifo

  “Hakuna mtu ambaye ni mpumbavu kiasi cha kutojua kwamba kuna siku tutakufa. Pamoja na ufahamu huu wote, wakati wa kufa unapokaribia bado kuna watu wengi huogopa, wakitetemeka na kuhuzunika. Je usingemwona kuwa ni mpumbavu kabisa mtu ambaye anahuzunika, kwa sababu ati hakuwepo miaka elfu moja iliyopita?

  Endelea ...
 • sehemu ya kwanza

  Ukweli kuhusu Kifo

  Kifo kimekuwa ni gumzo na kitendawili kilichokosa jibu, kitendawili hiki kimekuwa ni gumzo kubwa sana ambalo limewanyima usingizi watu wengi ikiwepo wanafalsafa na watu wa tafakuri.

  Endelea ...
 • sehemu ya kwanza

  JE NI KWELI MASHIA HUTUKANA MASWAHABA?

  Imekuwa ni tuhuma maarufu na mashuhuri, inayosambazwa na baadhi ya watu kuhusu Mashia, kwamba wanatukana maswahaba, na tuhuma nyingine nyingi. Kabla ya kuichunguza tuhuma hii, kwanza nataka kuweka wazi maana ya kutukana au matusi ili tuweze fahamu je ni kweli maswahaba wanatukanwa

  Endelea ...
 • RAFIKI WA KWELI

  Neno hili tumekuwa tukilitumia tangu watoto mpaka hivi sasa, maneno mengine yanayomaanisha neno hili ni pamoja na Swahiba,Shoga,mwanadani, mchizi na nk. Rafiki ni mtu ambaye anaelewana,anapendana na kuaminiana na mwenzake.

  Endelea ...
 • Kifo sehemu ya pili.

  FAIDA ZA KIFO:

  Kabla ya kuelezea faida za kifo, ningependa kuelezea maana ya kifo kwa mtazamo wa wanafalsafa ilikutoa woga kwa wanaogopa kifo, kama nilivyoahidi katika mada iliyotangulia,

  Endelea ...
 • Kifo sehemu ya kwanza.

  Kifo

  Kifo kimekuwa ni gumzo na kitendawili kilichokosa jibu, kitendawili hiki kimekuwa ni gumzo kubwa sana ambalo limewanyima usingizi watu wengi ikiwepo wanafalsafa na watu wa tafakuri.

  Endelea ...
 • Historia ya Mandela

  Nelson Mandela alizaliwa katika kijiji kimoja kiitwacho, Mvezo katika mkoa wa Eastern Cape nchini Afrika Kusini tarehe 18 Julai mwaka 1918. Alikuwa mtu wa kwanza katika familia yake kwenda shule. Mwalimu ambaye hata hangeweza kutaja jina lake vyema, alizoea kumuita Nelson. Alitoroka mjini Johannesburg mwaka 1941 ili kuepuka kulazimishwa kuoa mapema. Alikutana na Walter Sisulu aliyemsaidia kupata kazi katika kampuni ya ya Witkin Sidelsky na Eidelma. Pia alijiunga na chama cha (ANC)

  Endelea ...
 • HEKAYA

  HEKAYA YA MZEE NA NYOKA

  Mzee mmoja aliazimia safari kuelekea mashariki ya mbali, hivyo alifungasha mizigo na kupanda Ngamia wake na kuanza safari.Njiani alifika sehemu kwenye mti mkubwa ambapo aghalabu wasafiri hupumzikia hapo.

  Endelea ...
 • Elimu ya Tiba na historia yake sehemu ya pili Na:Mketo Matenga

  Maisha ya Ibn siina(Avecina)

  Makala iliopita tulieleza kwa ufupi Historia ya Tiba katika uisilamu, na kuashiria baadhi ya madaktari wa kiislamu, ambapo miungoni mwao alikuwa daktari mashuhuri Ibun Siina(Avecina). Ama katika makala hii nitazungumzia maisha yake kwa ufipi na kugusia baadhi ya nukta muhimu za Elimu ya Tiba katika Qur'an na mtazamo wake kunako masuala ya Tiba na taaluma mbalimbali za Tajiruba. Kuwa pamoja name ndugu msomaji katika kuangalia misingi ya kiislamu kunako Elimu za Tajiruba.

  Endelea ...
 • tiba na historia yake sehemu ya kwanza Na: Mketo Matenga

  Elimu ya Tiba na historia yake katika uislamu

  Bismillah Rahmani Rahim Baada ya kumshukuru Mola muumba, nakumtakia rehema na amani mtukufu Mtume(s.a.w.w). Nachukua nafasi hii kuelezea kwa ufupi historia ya tiba kwa sura ya ujumla, na kisha kuangalia mtazamo wa dini ya kiislamu kunako tiba . Swali lipaswalo kujiuliza ni kwamba elimu ya tiba ilianza zama gani? Pia mtazamo wa uislamu kuhusu tiba ni upi? Ndugu msomaji tushirikiane ili kupata majibu mema yatakayo tunufaisha sisi na jamii kwa ujumla

  Endelea ...
 • Akida sehemu ya Tatu Na:Sirkatundu

  MAKUNDI KATIKA UISLAMU

  Katika mada iliyopita nilielezea kuwa Ukhalifa au ungozi baada ya mtume saw ilikuwa ni sababu iliyopelekea waislamu kugawanyika makundi mawili Shia na Sunni

  Endelea ...
 • Itikadi Sehemu ya Pili

  Akida na:H.Katundu

  AKIDA Tofauti katika masuala ya kifiqhi ndio sababu kuu ya kupatikana makundi ya kifqh kama vile madhehebu makuu manne ya kifqh kwa masunni ambayo ni Hanafii, Malikii, Shafii na Hanbalii makundi haya manne katika mtazamo wa kifqh yanatofautiana kwani kila moja kati ya makundi hayo yana rai yake binafsi ijapokuwa kuna wakati wanafikiana katika rai zao.

  Endelea ...
 • Falsafa ya Kiislam

  Falsafa sehemu ya pili Na:H.Katundu

  Neno fasalfa si neno geni, kwani tumekuwa tukilisikia au kilitumia mara kwa mara katika mazungumzo yetu ya kila siku. Katika mada hii nitaelezea elimu ya Falsafa muhtasari. Neno Falsafa, linatokana na neno la kigiriki PHILOSOPHIA. Ambapo ni muunganiko wa maneno mawawili: PHILO na SOPHIA. Neno PHILO linamaanisha Upendo na neno SOPHIA lina maansiha hekima.

  Endelea ...
 • Falsafa ya Kiislam

  Falsafa

  Neno fasalfa si neno geni, kwani tumekuwa tukilisikia au kilitumia mara kwa mara katika mazungumzo yetu ya kila siku. Katika mada hii nitaelezea elimu ya Falsafa muhtasari. Neno Falsafa, linatokana na neno la kigiriki PHILOSOPHIA. Ambapo ni muunganiko wa maneno mawawili: PHILO na SOPHIA. Neno PHILO linamaanisha Upendo na neno SOPHIA lina maansiha hekima.

  Endelea ...
 • Itikadi sehemu ya kwanza

  Akida

  AKIDA Akida ni moja kati ya elimu muhimu kwa kila muislamu, elimu hii inaongelea (mizizi ya dini) au itikadi za kiislamuambazo kila muislamu anatakiwa kuwa na imani nazo. Kwa jina jingine, elimu hii huitwa “Kalaam” (Islamic Theology). Kwa mukhtasari tunaweza sema kuwa: Elimu hii inazungumzia misingi ya dini ya kiislamu (Usuulu din)

  Endelea ...
 • Makala zetu

  Msikiti wa kwanza wajengwa Athens

  Bunge la Ugiriki hatimaye limetoa kibali cha kujengwa msikiti wa kwanza mkuu mjini Athens, ambao ni mji mkuu wa nchi hiyo, jambo ambalo limekuwa likijadiliwa kwa muda mrefu nchini humo.

  Endelea ...
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky