Wiki hili limekuwa ni wiki Muhimu kwa waislamu wa madhehebu ya Sunni na Shia kwa kusheherekea siku ya kuzaliwa mtume Muhammad s.a.w ambaye ni mtume wa Mungu aliyeleta dini ya uislamu na kufundisha kitabu cha hekima cha Qur an. Lakini waislamu wa dhehebu la Wahabia au waislamu wa siasa kali wamekuwa wakipinga kuadhimisha siku ya kuzaliwa mtume Muhammad s.a.w wakidai kuwa ni makosa kufanya hivyo. Lakini fikra hizo zinapingwa na mashehe wakubwa waliobebea katika elimu za dini ya kiislamu.
Endelea ...-
-
Mamilioni ya waislamu waomboleza kifo cha mjukuu wa mtume Muhammad Iraq
Oktoba 12, 2016 - 11:56 PMHizi ni picha za waislamu wa dhehebu la shia wakiomboleza tukio la kifo cha Husein ambaye ni mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w aliyeuawa na maswahaba waovu wa mtume huyo mnamo mwaka wa 61 hijria sawa na mwaka 680.
Endelea ... -
Waislamu wa Marekani wakiomboleza kifo cha mjukuu wa mtume Muhammad
Oktoba 12, 2016 - 11:54 PMHizi ni picha za waislamu wa dhehebu la shia wakiomboleza tukio la kifo cha Husein ambaye ni mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w aliyeuawa na maswahaba waovu wa mtume huyo mnamo mwaka wa 61 hijria sawa na mwaka 680.
Endelea ... -
Shaaban Robert Fasihi wa pekee
Desemba 10, 2014 - 2:00 PMShaban Robert ni mshairi, fasihi na mwandishi mahiri ambaye anamchango mkubwa katika kuendeleza tamaduni na lugha adhimu ya kiswahili, Shaaban Reobert ni fahari ya Tanzania.
Endelea ... -
Tukio la kusikitisha la Karbalaa
Novemba 4, 2014 - 9:03 AM“mimi siko hapa kwa ushari, au kutaka ugomvi ila niko hapa kwa ajili ya kurejesha heshima ya dini tukufu ya babu yangu mtume Muhammad s.a.w, niko hapa kuamrisha mema na kukataza uovu, niko hapa kusahihisha itikadi na imani za waislamu”.
Endelea ... -
Sehemu ya pili
JE KUNA UMUHIMU WA KUWEPO DINI?
Oktoba 28, 2014 - 11:17 PMKatika harakati zote za kidini tangu enzi za manabii, mpaka hivi sasa, kumewepo na wapinzani wa dini, wapinzani wa dini wamekuwa na hoja mbali mbali katika upinzani huo. Wapinzani wa dini tunaweza kuwagawanya katika makundi mawili. Wapinzani wa dini wa zamani (enzi za manabii) na wapinza wa dini wa sasa
Endelea ... -
Fadhila za Sayyidna Ali bin Abi Twalib a.s
Oktoba 22, 2014 - 10:42 PMAli bin Abitwalib a.s alikuwa ni ndugu wa Mtume Muhammad s.a.w na swahaba wapekee,Ali bin Abitwalib ndiye swahaba aliyemuoa Fatma bint ya mtume Muhammad s.a.w na ndiye mtu pekee aliyezaliwa katika kaaba tukufu Makka.
Endelea ... -
Sehemu ya kwanza
Je Kuna umuhimu wa kuwepo Dini?
Oktoba 18, 2014 - 6:18 PMKusema kweli, hakuna serikali itakayomzuia mtu huyu asiibe lakini Dini inaweza,
Endelea ... -
Siku ya Ghadir
Tukio la hija ya mwisho ya Mtume Muhammad s.a.w
Ghadir
Oktoba 12, 2014 - 10:10 PMHijja hii ilihudhuruwa na maswahaba wengi sana, inasemekana kuwa idadi yao ilikuwa takriban watu laki moja na ishirini na nne elifu (124000), watu hawa katika siku ya jummamosi tarehe 24 mwezi wa Dhilqa’adah wakiwa sanjari na mtume Muhammad s.a.w waliongozana kuelekea katika mji mtukufu wa Makka kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya hijja.
Endelea ... -
Maajabu ya Imamu Jaafar [a.s.]
Oktoba 2, 2014 - 10:17 PMNi kisa cha Imamu Jaafar Swadiq alipokutana na Mganga wa kihindi, na kujiri mazungumzo yenye mafunzo ya ajabu kutoka kwa Imam Jaafar Swadiq ambayo yalimstaajabisha Mhindi huyo.
Endelea ... -
Maajabu ya Aliy [a.s.]
Septemba 24, 2014 - 6:32 PMBin Asfari kutoka Sham akasema: ninashuhudia kuwa wewe ni mtoto wa nabii na Ali bin Abi Twalib ni Khalifa na wasii wa mtume Muhammadi na kwamba Ali bin Abitwalib, ndiye unaestaili uongozi kuliko Muawiya.
Endelea ... -
Mafunzo ya Jamii
Maana ya hadithi Thaqalaini- Sehemu ya tano na ya mwisho
Oktoba 20, 2013 - 12:00 AM -
Mafunzo yaJamii
Maana ya hadithi Thaqalaini- Sehemu ya nne
Oktoba 20, 2013 - 12:00 AM -
Maana ya hadithi Thaqalaini- Sehemu ya Tatu
Oktoba 20, 2013 - 12:00 AM -
Mafunzo ya Jamii
Maana ya hadithi Thaqalaini- Sehemu ya pili
Oktoba 20, 2013 - 12:00 AM -
Mafunzo ya Jamii
Maana ya hadithi Thaqalaini- Sehemu ya kwanza
Oktoba 20, 2013 - 12:00 AM -
Kuzaliwa Bibi Fatima Maasuma(as)
Septemba 7, 2013 - 12:00 AMAlizaliwa katika mji wa Madina watu wakiwa na shauku ya kumuona mtoto atakayezaliwa kutoka katika familia ya Mtume wetu mtukufu (s.a.w) na katika nyumba ya Imamu Kaadhimu (a.s) iliyokuwa imezongwa na furaha kwa kukaribia kuzaliwa kipenzi cha nyoyo zao.
Endelea ... -
Imam Husein(as)
Siku ya Ashura ni siku ya likizo
Novemba 30, 2012 - 12:00 AMKutokana na siku ya Ashura timu moja ya Wakristo kusimamisha kila aina ya kazi zao kwa heshima za siku hiyo adhimu.
Endelea ... -
Imam Husein(as)
Udongo wa Karbala kugeuka damu siku ya Ashura+ Picha
Novemba 28, 2012 - 12:00 AMSiku ya Ashura udongo wa kaburi la Imam Husein(as) kugeuka damu katika makumbusho ya Karbala.
Endelea ... -
Historia ya waja wema
Imam Sadjad(a.s)
Machi 20, 2011 - 12:00 AM -
Historia ya Waja wema
Muhtasari wa maisha ya Fatimah Zahra
Machi 20, 2011 - 12:00 AM -
Kuzaliwa Imam Hasan Askariy
Machi 20, 2011 - 12:00 AM -
NAFASI NA MAISHA YA FAATIMATUZ-ZAHRAA (A.S)
Machi 20, 2011 - 12:00 AM -
IMAMU WA KUMI NA MBILI
Machi 20, 2011 - 12:00 AM
- 1