Ismail Haniyah achaguliwa kuwa mkuu wa ofisi ya chama cha siasa cha Hamasi

Ismail Haniyah achaguliwa kuwa mkuu wa ofisi ya chama cha siasa cha Hamasi

Katika kikao kilichofanyika siku ya Ijumaa na viongozi wa kikundi cha Hamasi wamefanikiwa kumchagua Ismail Haniyah kuwa ndiye kiongozi mkuu wa ofisi ya mambo ya kisiasa katika chama cha Hamasi

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Ismail Haniyah amekuwa msimamizi mkuu wa ofisi hiyo nafasi ambayo hapo kabla aliishika Khalid Mashal.
Kikao kilichofanyika siku ya Ijumaa kilichokusanya viongozi wa kikundi cha Hamasi kwaajili ya kumchagua kiongozi wa kikundi hicho, walifikia tija ya kumpakata kiongozi mpaya wa Hamasi ambapo Khalid Mashal kiongozi wa zamani wa kikundi hicho alimtangaza rasmi Ismail Haniyah kuwa ndiye mkuu wa ofisi hiyo.
Wagombea wa nafasi hiyo walikuwa ni “Ismail Haniya”, “Musa Abu Marzuk” na “Muhamma Nazali” ambapo ushindi wa nafasi hiyo amechukua Ismail Haniyah.
Jina kamili la kiongozi huyo aliochaguliwa ni Ismail Abdusalam Ahmad Haniyah amezaliwa mnamo mwezi Januari mwaka 1963 sehemu ya Shatiy Gaza nchini Palestina na kukua katika maeneo ya mji wa ukanda wa Gaza nchini humo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky