Familia 360 zarudi katika makazi yao katika mji Baquba nchini Iraq

Familia 360 zarudi katika makazi yao katika mji Baquba nchini Iraq

Mmoja kati ya viongozi wa mkoa wa Diyala nchini Iraq ametangaza kurejea kwa famila 360 katika makazi yao ambayo waliyatelekeza kukimbia vita iliokuwa baina ya magaidi wa Daesh na Majeshi ya Iraq katika sehmu hiyo

Shirika la habari AhlulaBayt (a.s) ABNA: mjumbe mmoja wa baraza la wajumbe wa mkoa wa Diyala nchini Iraq ametangaza kurejea kwa familia 360 za wakimbizi wa mji wa Baquba kaskazini mwa mashariki ya Baquba.
Umari Alkarawiy amebainisha kuwa: familia hizi ndio kundi la kwanza lilioanza kurejea katika mji huo ndani ya mwezi huu katika maeneo hayo.
Mwisho amemaliza kwa kusema kuwa kundi la pili litakuwa na familia 300 ambazo zitarejea katika makazi yao katika sehemu ya Humeh Julani.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Arba'een
Mourining of Imam Hossein
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky