Hoteli za mtoto wa kifalme wa Saudi Arabia aliyekamatwa kupigwa mnada mjini Berut

Hoteli za mtoto wa kifalme wa Saudi Arabia aliyekamatwa kupigwa mnada mjini Berut

Hoteli za mtoto wa kifalme (Walidi bin Talali) ambaye mpaka sasa yuko mahabusu zimetiwa mnadani mjini Berut nchini Lebano tayari kwaajili ya kuuzwa

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Hoteli za Walidi bin Talali, mtoto anaetoka katika familia ya kifalme ya Saudi Arabia ambaye hivi sasa yuko mahabusu nchini humo zaagizwa kupigwa mnada nchini Lebano.
Bank moja ya biashara nchini Lebanon imeamuriwa kuziweka mnadani Hoteli mbili za nyota tano ambazo ni mmiliki wake ni Walidi bin Talali ambaye ni mtoto anaetokea katika familia ya kifalme ya Saudi Arabia aliopo kizimbani nchini humo.
Serikali ya Saudi Arabia imemkamata Walid bin Talali ambaye ni bilionea wa nchi hiyo kwa tuhuma yakuwa ni fisadi wa mali za taifa hilo, kwa upande mwingine serikali ya Saudi Arabia haijabainisha sababu ya kuziweka mnadani mali za tajiri huyo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Arba'een
Mourining of Imam Hossein
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky