Kamanda muhimu wa Daesh akamatwa na kugundua ghala 3 za kemikali za miripuko

Kamanda muhimu wa Daesh akamatwa na kugundua ghala 3 za kemikali za miripuko

Kamanda wa mashambulizi ya Tigris ametangaza kukamatwa kwa kamanda mmoja muhimu wa kikundi cha kigaidi cha Daesh huku wakigundua ghala tatu za kemikali za miripuko kaskazini mwa mashariki mwa mkoa wa Diyala nchini Iraq

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: kamanda wa mashambulizi ya sehemu ya Tigris, leo ametangaza kumtia mbaloni kamanda mmoja muhimu wa kikundi cha Daesh na kugundua ghala tatu za kemikali ya milipuko kaskazini mwa mashariki mwa mkoa wa Diyala nchini Iraq.
Kwa mujibu wa ripoti ziliotufikia ni kwamba, majeshi ya usalama ya Iraq yamegungudua ghala 3 za kemikali za miripuko, huku wakibainisha kuwa wamemkamata kamanda muhimu anaetegemewa katika kikundi cha kigaidi cha Daesh karibu na kaskazini mwa mashariki ya Baqubah.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky