Katibu mkuu umoja wa Mataifa amesikitishwa sana na kuuliwa kwa Khashoggi

Katibu mkuu umoja wa Mataifa amesikitishwa sana na kuuliwa kwa Khashoggi

Msemaji wa katibu mkuu wa umoja wa Mataifa amesema kuwa Katibu mkuu wa umoja wa Mataifa amesikitishwa sana na kuthibitishwa kwa habari ya kuuwawa kwa Jamali Khashoggi

Shrika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Msemaji wa katibu mkuu wa umoja wa Mataifa amesema kuwa Katibu mkuu wa umoja wa Mataifa amesikitishwa sana na kuthibitishwa kwa habari ya kuuwawa kwa Jamali Khashoggi.
Msemaji huyo amebainisha kwa kusema kuwa, katibu mkuu wa umoja wa mataifa ametoa amri ya kufanyika uchunguzi wa kina kunako kifo cha Jamali Khashoggi. Mweshoni msemaji huyo amesema kuhitajika kufanyika uchunguzi wa kina ni kwaajili ya kupata vielelezo makini ili waadhibiwe waliohusika na mauaji hayo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

We are All Zakzaky