Kikundi cha Daesh chauwa watu 13 kwa kuwazamisha majini katika mjini wa Musol

Kikundi cha Daesh chauwa watu 13 kwa kuwazamisha majini katika mjini wa Musol

Kikundi cha kigaidi cha Daesh nchini Iraq kimeuwa watu 13 wasiokuwa wanajeshi ambapo waliwaweka katika tundu la chuma na kuwazamisha katika maji wakiwa hai

Shirika la habari Ahlulbayt (a.s) ABNA: kikundi cha kigaidi cha Daesh nchini Iraq katika mji wa Musol wameua watu 13 kwa kuwaweka katika tundu la chuma na kuwazamisha katika maji hata kufariki.
Kwa mujibu wa Televishen ya Alsumaria news, ambapo aliyetoa habari hizo hakutaka jina lake litajwe  ameashiria kuwa watu hao wameuliwa katika sehemu ya Dawose katikati ya mji wa Musol, kwa tuhuma ya kuwa ni majasusi wa majeshi ya nchi hiyo, ambapo hukumu hiyo imetolewa na mahakama ya magaidi hao na kuchukuliwa filamu yake kipindi walipokuwa wakifanya mauaji hayo.
toka muda ambao magaidi wa Daesh waliuteka mji wa Musol mnamo mwezi Juni mwaka 2014 mpaka sasa, maelfu ya wananchi wameuwawa kupitia kikundi hicho cha kigaidi huku wakiwatuhumu kuwa wanashirikiana na majeshi ya serikali ya Iraq.     
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky