Kikundi cha kigaidi cha Daesh chashambuliana na kikundi cha kigaidi cha Jabhatu Nusrah

Kikundi cha kigaidi cha Daesh chashambuliana na kikundi cha kigaidi cha Jabhatu Nusrah

Wasimamizi wa haki za binadamu nchini Syria wametangaza kutokea kwa marumbano na mapigano makali baina ya kikundi cha kigaidi cha Daesh na kikundi cha kigaidi cha Jabhatun Nusrah kaskazini mwa mashariki mwa Hamat nchini Syria

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: wasimamizi wa shirika la haki za binadamu nchini Syria wametangaza kutokea kwa mapigano baina ya kikundi cha kigaidi cha Daesh na kikundi cha kigaidi cha Jabhatun Nusrah katika maeneo mbalimlali kaskazini mwa mashariki ya Hamat nchini Syria.
Aidha kwa upande mwingine marumbano yametokea katika sehemu ya Humeh ya katika kijiji cha Sarha ambapo kikundicha kigaidi cha Daesh na Jabhatun Nusrah walifyatuliana risasi baina yao. Kwa upande wa walioadhirika kufuatia mapambano hayo mpaka sasa hatuna ripoti mathubuti.
 mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Arba'een
Mourining of Imam Hossein
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky