Kiongozi mmoja wa kikundi cha kigaidi Alqaidah afa nchini Yemen

Kiongozi mmoja wa kikundi cha kigaidi Alqaidah afa nchini Yemen

Kiongo mmoja wa kikundi cha kigaidi cha Alqaidah nchini Yemen ameangamia mashariki mwa nchi hiyo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: kiongozi mmoja wa kikundi cha kigaidi cha Alqaidah nchini Yemen ameangamizwa akiwa pamoja na wenzake aliokuwa pamoja nao, kufuatia shambulio la anga liliofanywa dhidi yao mashariki mwa Yemen.
Gaidi huyo wa kikundi cha kigaidi cha Alqaida aliyekuwa anaitwa kwa jina la (Mabhut As-sairi) ameangamia sehemu ya Al-abr iliopo ndani ya mkoa wa Hadhramaut nchini humo.
Kuangamia kwa gaidi kumefuatia shambulio anga liliofanywa na ndege ambayo mpaka sasa haijafahamika inahusika na kikundi gani na taifa.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky