Magaidi 11 wa Daesh wakamatwa na majeshi kugundia ghala za silaha nchini Iraq

  • Habari NO : 868296
  • Rejea : ABNA
Brief

Majeshi ya ulinzi na usalama ya Iraq leo yamekamata magaidi wa kikundi cha Daesh 11 magharibi mwa mji wa Anbar huku wakigundua maficho ya magahala ya silaha zao katika sehemu hiyo

Shirika la habari Ahlulabayt (a.s) ABNA: Majeshi ya ulinzi na usalama ya Iraq leo yamekamata magaidi wa kikundi cha Daesh 11 magharibi mwa mji wa Anbar huku wakiashiria kugundua maficho ya magahala ya silaha zao katika sehemu hiyo, magaidi ambao walishikwa katika sehemu ya Raweh kufuatia msako mkali wa kuwatafuta magaidi hao nchini humo.
Inasemekana kuwa kwamujibu wanavyoamini wataalamu ni kwamba kikundi cha kigaidi cha Daesh baada ya kushindwa na kunyanganywa maeneo walikuwa wameyashika nchini Iraq na Syria, kuna mashaka yakwamba magaidi waliobaki katika mataifa hayo waweza kufanya matukio ya kigaidi ya kujirupua katika maeneo mbali mbali ya nchi hizo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky