Magaidi washambulia miji wanaoishi mashia nchini Syria

Magaidi washambulia miji wanaoishi mashia nchini Syria

Vikundi vya kigaidi vimefanya mashambulizi katika miji wanayoishi Mashia ambayo imezingirwa na magaidi ambayo ni miji ya Fua na kafaria nchini Syria

Shirika la habari AhluBayt (a.s) ABNA: vikundi vya kigaidi vimeshambulia miji ya Al-fu`ah na Kafarya inayokaliwa na mashia nchini humo.
Shambulio hayo yamefanyika katika hali ambayo, miji hiyo miwili ikiwa bado imezingirwa na vikundi vya kigaidi, ama kuhusu maafa yaliosababishwa na mashambulizi mpaka sasa bado hayaja tangazwa.
Kwa upande mwingine vyanzo vya habari vya Syria vimetangaza kuwa, magaidi waliopo upande wa kusini mwa Syria wameanza kupigana wenye kwa wenyewe.
Kwa mujibu wa habari za mwisho kuhusu mapigano yaliotokea kati ya vikundi vya kigaidi ni bado vyenye kuendelea.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky