Ngome 3 za Daesh katika mji wa Diyala zasambaratishwa na majeshi ya Iraq

Ngome 3 za Daesh katika mji wa Diyala zasambaratishwa na majeshi ya Iraq

Kiongozi wa masuala ya usalama katika majeshi ya Iraq, ametangaza kuangamiza kwa ngome tatu za kikundi cha kigaidi cha Daesh katika sehemu ya Jalula iliopo katika mkoa wa Diyala nchini humo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: kiongozi wa mambo ya ulinzi na uslama katika majeshi ya Iraq, ametangaza kuangamizwa kwa ngome tatu za kikundi cha kigaidi cha Daesh na mitumbwi miwili ya kivita na pikipiki nne, katika mapambano makli kati ya kikundi hicho na majeshi ya Iraq, kufuatia msako wa kutafuta maficho ya magaidi wa Daesh.
Katika mashambulizi haya, majeshi ya Iraq yalishirikiana na majeshi ya kujitolea nchini humo , ambapo baada ya kuiteka sehemu hiyo walikuta vifaa mbalimbali vya kivita na vyakula ambavyo vilikuwa katika ngome hizo.
Aidha kamati na barala za usalama katika mkoa wa Diyala limetangaza kuwa kaskazini mwa mkoa huo katika sehemu ya Adhimu, ambapo magaidi wa wamesambaratishwa katika sehemu hiyo na familia 500 nza watu waliokuwa wamekimbia sehemu wamesharudi katika makazi yao.  
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky