Polisi afariki nchini Saudia kufuatia shambulizi la kufyatuliana risasi mjini Riyadh

Polisi afariki nchini Saudia kufuatia shambulizi la kufyatuliana risasi mjini Riyadh

Hayo yametangazwa na wizara ya mambo ya ndani ya Saudi Arabia na kusisitiza kuwa Polisi mmoja wa nchi hiyo amefariki kufuatia mashambulizi ya kutupiana Risasi na watu wasiofahamika kaskazini mwa mji mkuu wa Saudi Arabia Riyadh

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: msemaji wa masuala ya usalama katika wezara ya mambo ya ndani ya Saudi Arabia “Mansuri Turkiy” ametangaza kutokea mashambulizi ya kurushuana risasi katika manispaa ya “Buraidah” Kaskazini mwa Riyadh.
Kwa mujibu wa maelezo ya Mansri Turkiy ni  kwamba tukio hilo siku ya Jumapili saa kumi na dakika arubaini na tano alasiri, kwamba watu wenye silaha walishambulia kituo cha usalama kiliopo katika barabara Buraidha Tarfiyah sehemu ya Alqasim kaskazini mwa mji wa Riyadh, ambapo katika mapambo hayo watu wawili miongoni mwa washambuliaji walipoyeza maisha na kujeruhiwa.
Kwa mujibu wa ripoti hii mmoja miongoni mwa majeshi ya Polisi wa Saudi Arabia ambaye mwenye asili ya Bangladesh alipoteza maisha kufuatia mashambulizi hayo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky