Majeshi ya Polisi nchini Iraq wamatangaza kumkamata kiongozi mkuu wa kukusanya na kugawa Zaka wa kikundi cha kigaidi cha Daesh nchini humo
Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: wizara ya mambo ya ndani nchini Iraq imetangaza kumkamata msimamizi na kiongozi wa ukusanyaji wa zaka katika hicho cha kigaidi.
Hayo yamesemwa na msemaji wa wizara ya mambo ya ndani wa Iraq na kusisitiza kuwa mafanikio ya kumkamata gaidi huyo yamefikiwa kufuatia juhudi kubwa iliofanywa na vyombo vya usalama katika mkoa wa Kerkuk.
Inasemakana ni kwamba, magaidi wa kikundi cha kigaidi cha Daesh wamekuwa wakifanya mashambulizi dhidi ya wananchi wa mkoa wa Kerkuk na kuwafanya wakose amani, hivyo basi ya usalama wamekuwa yakiendeleza juhudi zake ya kusafisha maeneo yaliokuwa na mabaki ya vikundi vya kigaidi nchini humo.
mwisho/290