Shambulio la kurushiana risasi latokea katika mji mkuu wa Saudi Arabia

Shambulio la kurushiana  risasi latokea katika mji mkuu wa Saudi Arabia

Vyombo vya habari mbalimbali vyatangaza kutokea kwa milio ya risasi katika Hospitali ya Mfalme Salman katika mji mkuu wa Saudi Arabia Riyadh

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: vyombo vya habari vya Saudi Arabia vimetangaza kutokea kwa mapigano ya Risasi katika Hospitali ya mfalme Salman katika mji wa Riyadh.
Kwa mujibu wa habari ni kwamba mtu mmoja asiye fahamika aliwafyatulia risasi wafanyakazi wa Hospitali hiyo kisha akawa amekimbia katika sehemu hiyo.
Wizara ya afya nchini Saudi Arabia baada ya kutokea tukio hilo amesema imetoa kauli kuwa itafanya uchungu mkali kuwabaini wahusika wa waliohusika na kufanya tukio hilo katika Hospitali hiyo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky