Waislamu wa Indonesia waandamana kupinga mauaji ya waslamu wa Rohingya+ picha

Waislamu wa Indonesia waandamana kupinga mauaji ya waslamu wa Rohingya+ picha

Mamia ya Waislamu wa Indonesia leo wameandamana kwaajiliya kupinga mauaji ya Waislamu wa Rohingya wanaouliwa na majeshi ya serikali ya Myanmar

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Mamia ya Waislamu wa Indonesa leo wameandamana kwaajiliya kupinga mauaji ya Waislamu wa Rohingya wanaouliwa na majeshi ya serikali ya Myanmar.
Waandamanaji hao walikuwa wakitoa kauli mbiu mbalimbali na kubeba mabango mbalimbali yanayoonyesha kuchukizwa na vitendo vya kinyama wanavyofanyiwa Waislamu wa Rohingya nchini Mnyamar.
Jumuia ya umoja wa mataifa imetangaza kuwa: idadi ya Waislamu wa Rohingya ambao kufuatia unyama wanaofanyiwa wamekimbilia nchini Bangladesh, wamefikia watu 87 elfu kwa muda wa siku 10, huku kwa upande mwingine inadaiwa kuwa watu zaidi ya 20 wapo katika mipaka ya Bangladesh wakisubiri ruhusa ya kuingia nchini humo.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky