Waliopoteza maisha katika mlipuko katika mkoa wa Adlib wafikia 69

Waliopoteza maisha katika mlipuko katika mkoa wa Adlib wafikia 69

Waliowawa katika tukio la mripoko wa ghala la silaha katika mji wa Sarmada katika mkoa wa Adlib wafikia watu 69

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: chama haki za binadamu nchini wametangaza waliokufa katika tukio la mripoko uliotokea katika maghala ya silaha liliopo katika mji wa Ssarmada nakufikia watu 69.
Watu 17 miongoni mwa waliofariki ni watoto, huku ikiripotiwa kujeruhiwa watu 50 ambao ni wananchi wa kawaida wasiokuwa wanajeshi.
Mripoko huo umetokea siku ya Jumatatu katika mji wa Sarmada uliopo baina ya mpaka wa Syria na Uturuki, ambapo kufuatia mripuko huo majengo mawili yenye tabaka 6 yameharibiwa kwa mripuko huo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

We are All Zakzaky