Waliopoteza maisha kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini Yemen wafikia watu 1784

Waliopoteza maisha kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini Yemen wafikia watu 1784

Toka kipendi kilichoanza kuanza kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini Yemen mpaka sasa watu 1784 wamepoteza maisha kwa ugonjwa huo

Shirika la habari habari AhlulBayt (a.s) ABNA: shirika la Afya duniani limetangaza kuongezeka kwa idadi ya waliopoteza maisha kufuatia kukithiri kwa ugonjwa wa kipindupindu na kufikia watu 1784 nchini Yemen.
Shirika hilo la Afya limetoa kauli yake na kutangaza kuwa: toka kipindi kilichoanza ugonjwa wa kipindupindu nchini Yemen mwishoni mwa mwezi wanne, idadi ya walioathirika kufuatia ugonjwa katika kila pande za taifa hilo.
Aidha katika kauli ya shirika hilo la kimataifa imebainduainisha kuwa watu laki 344 alfu wanadhaniwa kuwa na ugonjwa wa kipindupindu nchini humo.
Aidha imeongoza kusema katika kauli yake iliotolewa siku ya Ijumaa idadi ya watu waliopoteza maisha ni watu 1759 na wanadhaniwa kuwa wameambukizwa kwa ugonjwa huo ni zaidi ya watu laki tatu.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky