Watoto elfu 15 wapatwa na ugonjwa wa kipindupindu nchini Yemen

Watoto elfu 15 wapatwa na ugonjwa wa kipindupindu nchini Yemen

Jumuia ya kimataifa ya misaada kwa watoto iliopo chini ya jumuia ya umoja wa Mataifa imetangaza kuwa watoto elfu 15 wamepatwa na ugonjwa wa kipindupindu nchini Yemen

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: idara ya kimataifa ya misaada kwa watoto iliochini ya umoja wa mataifa imetangaza siku iliopita kuwa toka kufumuka kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini Yemen mpaka sasa watoto zaidi ya 15 elfu wamepatwa na ugunjwa huo.
Jumuia ya Umoja wa Mtaifa katika ukurasa wake wa Twitter imetangaza kuwa: idadi ya Wayemen wamepatwa na ugonjwa wa kipindupindu mpaka sasa ni zaidi ya watu laki sita, ambapo elfu 15 kati yao ni watoto waliokuwa chini ya miaka mitano huku habari zinaeleza kuwa ziaid ya watu elfu mbili na 62 wamepoteza maisha kufuatia ugonjwa huo.
Vyanzo makini vya afya vimesisitiza kuwa kuenea kwa ugonjwa huo wa kuambukiza umetokana na kuharibiwa kwa vyanzo safi za maji kufuatia mashambulizi ya ndege za kivamizi za serikali ya Saudi Arabia nchini humo toka miaka mitatu iliopita.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky