Abu Bakr al-Baghdadi akimbilia Afrika

Abu Bakr al-Baghdadi akimbilia Afrika

Moja kati ya magazeti ya Uingereza limetangaza kuwa: kiongozi wa kikundi cha kigaidi cha Daesh Abubakari Al-baghdadi amekimbia nchini Iraq na hivi sasa yupo katika moja ya nchi za Afrika

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: gazeti moja la Uingereza The Sun, siku ya Jumatano limeandika kuwa kiongozi wa kikundi cha kigaidi cha Daesh amekimbilia Afrika ambapo hivi sasa yuko nchini Chad au Niger.
Samih Aidani mtaalamu wa masuala ya vikundi vya jihadi nchini Miri amesema: inawezekana kwa Al-baghdadi baada ya vikundi vyake vya kigaidi kukimbia nchini Iraq na Syria, hivi sasa yuko katika nchi za Afrika.
Najihi Ibrahimu ambaye pia ni katika wataalamu wa masuala ya vikundi vya kigaidi amesema: Abubakari Al-baghdadi inawezekana akawa katika maeneo kama kaskazini mwa Chad au katika sehemu za mipaka kati ya taifa la Algeria na Niger.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky