Abubakari Albaghdadiy kiongozi wa Daesh bado yuko hai nchini Iraq

Abubakari Albaghdadiy kiongozi wa Daesh  bado yuko hai nchini Iraq

Chanzo kimoja kilichukuwa na taarifa ya kuwepo kiongozi wa kikundi cha kigaidi cha Daesh akiwa hai, ambapo anaishi katika moja ya sehemu ziliopo nje ya mji wa Musol

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: chanzo makini chapinga habari ya kuangamia kwa kiongozi wa kikundi cha kigaidi cha Daesh “Abubakari Albaghdadiy” katika mji wa Musol, ambapo chanzo hicho kimeliambia gazeti la kimataifa la Alquds Alarabi kuwa kiongozi wa kiongozi wa kikundi cha kigaidi cha Daesh bado yuko hai katika moja ya maeneo yaliopo nje ya mji wa Musol.
Chanzo hicho kinaendelea kubainisha kuwa: kiongozi wa kikundi cha kigaidi cha Daesh “Abubakari Albaghdadiy” ambapo kiongozi huyo aliondoka katika maeneneo ya mipigano (Musol na Raqqah) yeye pamoja na familia yake kwenda katika sehemu iliokuwa na amani nchini humo.
Inasemekana kuwa kikundi cha kigaidi cha Daesh katika masiku ya hvyo karibuni katika maeneo mblimbali za mji wa Tal Afar magharibi mwa Musol wametangaza kwa kusema kuwa yeyote atakaye sikika akizungumzia suala la kufa Abubakari Albaghdadiy atachapwa viboko hamsini.
Hii ni jawabu la kwanza kutoka kwa kikundi cha kigaidi cha Daesh kuhusu taarifa ya kuangamia kwa kiongozi wa kikundi hicho cha kigidi Abubkari Albghdaiy nchini humo.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky