Akina mama 7 waitaka Saudia kusitisha hukumu ya kunyongwa kwa watoto zao

Akina mama 7 waitaka Saudia kusitisha hukumu ya kunyongwa kwa watoto zao

Akina mama sabab wa Saudi Arabia ambao watoto zao wametolewa hukumu ya kunyongwa nchini humo, wameutaka utawala huo, kuzuia kutekelezwa kwa hukumu hiyo, hatimaye kuaxhiwa haraka iwezekanavyo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: akina mama  saba, wananchi wa Saudi Arabia ambao watoto zao wako jela za Saudi Arabia, ambapo wameshatolewa hukumu ya kunyongwa, wameitaka serikali hiyo kuzuia kutekelezwa kwa kanuni hiyo dhidi yao, huku wakisisitiza kuachiwa haraka watoto zao.
Akina mama hao wa kisaudia walitoa sauti kupitia maandamo walikuwa wameyafanya wakishirikiana na wanawake wengine na kusisistiza kuwa hukumu ya kunyongwa iliotolewa dhidi ya vijana hao imetolewa baada ya kukiri kosa kufuatia adhabu na mateso waliokuwa wanapewa katika jela hizo.
Akina mama hao katika maandamano hayo, wameashiri adhabu na mateso wanayofanyiwa watoto zao katika jela za Saudi Arabia toka miaka sita iliopita mpaka sasa, akina mama hao wamewataka huru wenye ubinadamu duniani na taasisi za haki binadamu ulimwenguni kusimama kidete kuzuia kutekelezwa kwa hukumu hiyo dhidi ya vijana wao.
Tukio hili linatokea katika hali taasisi za haki za binadamu duniani zilitoa kauli yakuwa inayoashiria kuwa hukumu zinazotolewa nchini Saudi Arabia si zauadilifu ambapo mara nyingi huwa hazina mashiko ya kisheria.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky