Al Attiyah: Qatar haitawezekana kusambaratishwa kwa urahisi

Al Attiyah: Qatar haitawezekana kusambaratishwa kwa urahisi

Waziri wa ulinzi na majeshi ya Qatar amesema: Qatar si nchi ndogo kiasi hicho kwamba kila mtu anaweza kuisambaratisha kwa urahisi, kwani tumejipamga ipasavyo katika hali yoyote hile ili kukabiliana na yoyote atakayetaka kulihujumu taifa hilo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: “Khalid bin Mohammad Al Attiyah”  ambaye ni waziri wa ulinzi wa taifa la Qatar aliyasema hayo alipokuwa akihojiana na televishen moja nchini humo ambapo aliashiria hali ya taifa hilo kuwa haiko vizuri kuhusu fungamano la taifa hilo na nchi na mataifa manne ambayo ni Saudi Arabia, umoja wa falme za kiarabu “Emiretes”,Bahrain na Misri.
Aidha amesisitiza kuwa: Qatar imejianda kukabialiana kijeshi na taifa lolote litakalotaka kufanya hujuma ya kijeshi taifa hilo katika kipindi chochote.
Katika suala hilo waziri wa ulinzi wa Qatar ameongeza kusema kuwa: Qatar si nchi ndogo kiasi hiocho kwamba kila mtu akiamua kuisambaratisha, ataisambaratisha kwa urahisi, si hivyo kwani tumejipanga ipasavfyo katika kuihami Qatar, ama matumaini yetu tusifikie huko, pamoja yakuwa tuko katika maandalizi ya hli yoyote itakayotokea katika kuhifadhi taifa letu.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky