Amiri wa Qatar: kukombolewa Musol ni ushindi kwa waarabu wote

 Amiri wa Qatar: kukombolewa Musol ni ushindi kwa waarabu wote

Amiri wa Qatar aliyasema hayo alipokuwa akitoa salama za pongezi ya ushindi wa Iraq kwa kuukomboa mji wa Musol kutoka mikononi mwa kikundi cha kigaidi cha Daesh nakusema kuwa ushindi huo umepatikana kwa kujitolea kwa majeshi ya Iraq hata kufikia ushindi ambao pia ni ushindi kwa waarabu wote, ambapo tunapaswa kufarihia sote kwa kuipata Iraq ya utulivu na amani

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Amiri wa Qatar ushindi wa Iraq kwa kuukomboa mji wa Musol kutoka mikononi mwa kikundi cha kigaidi cha Daesh nakusema kuwa ushindi huo umepatikana kwa kujitolea kwa majeshi ya Iraq hata kufikia ushindi ambao ni fahari ya waarabu wote, ambapo sote tunapaswa kufarihia kwa ushindi huo.
Sheikh Tamim bin Hamd bin Haongozilifah Ali Thani “Amiri wa Qatar” alimpigia simu waziri mkuu wa Iraq (Haidar Al-Abadi) nakutoa pongezi kwa wananchi wa Iraq, nakusisitiza kuwa kukombolewa mji kwa mji wa Musol ni ushindi mkubwa kwa waarabu wote.
Amiri wa Qatar katika mazungumzo hayo ya simu, baada ya kutoa pongezi ya kukombolewa mji wa Musol na wairaq dhidi ya magaidi ni ushindi ambao umepatikana kutokana na juhudi za kubwa za wapiganaji wa za majeshi ya Iraq, nao ni ushindi mkubwa kwa waarabu wote kwakuwa umeleta furaha ya daima kwa wairaq wute.
Aidha ametoa utayari wake katika kuwasaidia wairaq, huku akisisitiza kuwa bila shaka naamini kuwa wairaq wenyewe ndio watakaoweza kuifikisha nchi hiyo pale panapohitajika, ambapo serikali ya Qatar iko tayari kusaidiana na Iraq katika kila nyanja ili kufika huko.
Kwa upande wake waziri mkuu wa Iraq “Haidar Al-abadi” amesisitiza umuhimu wa kustawisha fungamano la mataifa hayo mawili hasa katika kukabiliana na vikundi vya ugaidi alkadhalika katika kukuza uhusiano katika nyanja mbalimbali za uchumi na biashara.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky