Benjamin Netanyaho aitembelea rasmi Oman+ picha

Benjamin Netanyaho aitembelea rasmi Oman+ picha

Ofisi ya waziri mkuu wa utawala haramu wa Israel imetangaza kuwa Benjamen Netanyahu na mke wake amefanya safari rasmi amefanya safari yake nchini Oman na kukamilisha safari hiyo jioni ya Ijumaa katika nhi hiyo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: hayo yamesemwa na ofisi ya waziri mkuu wa utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa waziri mkuu wa utawala haramu wa Israel amekwenda rasmi nchini Oman na kukamilisha safari yake Alasiri ya Ijumaa.
Aidha katika taarifa hiyo, wameeleza kuwa mfalme wa Oman alitoa weto kwa waziri mkuu wa Israel na mke wake kuizuru nchi hiyo, na baada ya mazungumzo marefu baina yao, amerudi kutoka nchini humo alasir ya Ijumaa.
Safari ya waziri mkuu wa utawala haramu wa Israel nchini, ni mara ya kwanza toka mwaka 1996 nchini humo, kwa upande inaelezwa kuwa safari ya kiongozi huyo wa utawala haramu wa Israel ilikuwa pamoja na baadhi ya viongozi wa utawala huo nchini humo.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

We are All Zakzaky