Familia laki mbili na elfu 24 ziliokimbia makazi yao zarejea katika makazi yao nchini Iraq

Familia laki mbili na elfu 24 ziliokimbia makazi yao zarejea katika makazi yao nchini Iraq

Serikali ya Iraq imetangaza kurejea kwa familia laki mbili na elfu 24 ambazo zilikimbia makazi yao wiki iliopita katika maeneo mbalimbali yalikuwa yamekomboliwa kutoka kwa magadi wa Daesh nchini humo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Serikali ya Iraq imetangaza kurejea kwa familia laki mbili na elfu 24 ambazo zilikimbia makazi yao, wiki iliopita katika maeneo mbalimbali yaliokuwa yamekomboliwa kutoka kwa magaidi wa Daesh nchini humo.
Familia hizo zimerejea katika makazi yao ya awali baada ya hali ya usalama kurejea na kuimarisha kwa miundombinu ya sehemu hizo, ambapo serikali ya Iraq hivi sasa bado inaendelea kufanya juhudi za maksudi za kuwarejesha wananchi wa=ote katika maeneo waliokuwa wanaishi awali.
Katika mkoa wa Anbar zaidi ya familia 55 elfu, mkoa wa Saladin zimerejea familia aki moja na 36 elfu na katika mkoa wa Nineveh ni zaidi ya familia 53 elfu zimerejea katika katika makazi yao ya awali.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky