Habari picha/ maombolezo ya mauaji ya Imam Husein (a.s) mjini London

  • Habari NO : 856658
  • Rejea : ABNA
Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: maomboilezo ya kuadhimisha mauaji ya kikatili yaliofanywa dhidi ya Mjukuu wa mtume Muhammad (s.a.w.w) yanaendelea kufanywa nchini Uingereza, ambapo Waislamu na waumini wa Shia wamejumuika pamoja wakikumbuka yaliojiri katika viwanja vya Karbala ambapo Imam Husein (a.s) mjukuu wa bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w) aliuliwa katika sehemu hiyo mnamo mwaka wa 61 A.H, waombolezaji hao, wameomboleza msiba huo katika kituo cha Kiislamu cha London nchini Uingereza

Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky