Habari za tukio la kigaidi liliotokea katika kaburi la Imam Khomeini nchini Iran + picha

Habari za tukio la kigaidi liliotokea katika kaburi la Imam Khomeini nchini Iran + picha

Gaidi mmoja awajeruhi wananchi baada ya kurusha risasi mahala alipozikwa Imam Khomeini nchini Iran

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: tukio hilo limetokea muda kadhaa kabla ya sala ya Dhuhri siku ya leo ambapo gaidi aliokuwa na silaha alirusha risasi katika eneo la kaburi aliozikwa Imam Khomeini na kupelekea watu kadhaa kujeruhiwa.
Mmoja katika watu walioshuhudia tukio hilo amesema kuwa katika mashambulizi hayo gaidi mmoja amejiripua katika sehemu hiyo, huku habari zingine zikiashiria kuwa gaidi mwingine miongoni mwao ameuliwa  na jeshi la nchi hiyo katika mapigano hayo na gaidi mwingine wakike ametiwa mbaroni na majeshi hayo huku mapambano yakiendelea katika sehemu hiyo.
Magaidi hao waliingia katika jengo la kaburi hilo kwakutumia mlango wa magharibi mwa sehemu hiyo ambap gaidi aliokuwa upande wa magharibi alikuwa akirusha risasi kwa kutumia bunduki ya kilashinkova, na muda kadhaa wa kurusha risasi gaidi huyo alijiripua kwa bomu aliokuwa amelivaa.
Saa 11:27 ndio ulikuwa mwisho wa mashambulizi hayo.
Magaidi walikuwa wameshambulia eneo la kaburi la Imam Khomeini walikuwa ni watatu, ambapo mmoja aliuliwa kwa kupigwa risasi na majeshi ya taifa hilo, mwengine alikufa kwa kujiripua na mwingine amekamtwa na majeshi ya nchi hiyo.
Saa 12:50 majeshi yamefanikiwa kuwakamata magaidi wengine wawili katika sehemu hiyo.
Saa 12:59 mkuu wa mkoa wa Teheran atangaza kuuwawa kwa msafishaji wa sehemu ya kaburi ya Imam Khomeini na kujeruhiwa kwa watu kadhaa.
Mpaka kufika saa 14:52 haki ya amani ilitengamaa katika sehemu hiyo baada ya kukamisha kukamtwa kwa baadhi ya magaidi hao na wengine kufanikiwa kuwauwa.

majeshi yawasili sehemu ya Tukio.

vifaa yva magaidi vilionekana katika eneo la tukio.

kichwa cha gaidi aliokuwa amejiripua na kukatika kichwa chake baada ya kujiripu.

sehemu aliokuwa amejiripua gaidi huyoi.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky