Hatua za kwanza za suluhu katika mji wa Rif Dumascus zatekelezwa + picha

Hatua za kwanza za suluhu katika mji wa Rif Dumascus zatekelezwa + picha

Makubaliano ya kufanya suluhu katika mji mkubwa wa Rif Damascus unao husu kutoka kwa vikundi vya watu waliokuwa na silaha pamoja na familia zao watekelezwa katika mji huo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: televishen ya Almayadini imetangaza kuwa mpango wa kutekelezwa kwa makubaliano ya suluhu ya kutoka vikundi viliokuwa na silaha pamoja na familia zao katika mji wa Rif Damascus nchini Syria.
Makubaliano hayo yajumuisha suala la kuwaamisha watu walikuwa na silaha na familia zao kutoka Rif Damascus kwenda mkoa wa Adlib, pia kutoa hukumu ya kuwasamehe waliokuwa na silaha ambao kwamba wanataka kubaki katika sehemu ya Barzeh iliopo nchini humo.
Kutekelezwa kwa makubaliano hayo kutaendelea mpaka siku ya Alhamisi, ambapo siku ya jana Jumatatu takriban gari 40 zimetoka sehemu hiyo zikiwa zimebeba watu hao ikiwa ni katika kutekeleza makubaliano hayo ya suluhu baina ya serikali na watu walikuwa na silaha nchini Syria.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky