Helkopta waliopanda viongozi wa ngazi zajuu wa Saudia yaanguka mpakani mwa Yemen

Helkopta waliopanda viongozi wa ngazi zajuu wa Saudia yaanguka mpakani mwa Yemen

Helkopta mmoja iliokuwa imebeba viongozi wa juu wa utawala wa Saudi Arabia ikiwemo watoto wa Wafalme imeanguka sehemu ya “Al-asir) katik mipaka wa Yemen kusini mwa Saudi Arabia

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Helkopta mmoja iliokuwa imebeba viongozi wa juu wa utawala wa Saudi Arabia ikiwemo watoto wa Wafalme imeanguka sehemu ya “Al-asir) katik mipaka wa Yemen kusini mwa Saudi Arabia.
Vyombo vya habari nchini humo vimetangaza kuanguka kwa Helkopta hiyo ambayo ilibeba viongozi wa ngazi za juu wa utawala wa Saudi Arabia ikiwemu baadhi ya watoto wa Wafalme wa nchi hiyo miongoni mwa (Mansuri bin Muqrin bin Abdilazizi) ambaye ni naibu wa kiongozi wa eneo la Al-asir pia ni mshauri wa Muhammad bin Naif wa nchi hiyo alioenguliwa nafasi yake hivi karibuni.
Katika tukio hilo pia mkuu wa jeshi la Polisi na msimamizi mkuu wa masuala ya kilimo katika eneo la Al-asir wamepoteza maisha.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Arba'een
Mourining of Imam Hossein
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky