Hillary Clinton: hutuba ya Trump ni udhalili kwa Mamrekani

Hillary Clinton: hutuba ya Trump ni udhalili kwa Mamrekani

Aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinto amesema: Marekani imetawaliwa na marais mbalimbali, ama naamini kuwa rais huyo (Donald Trump) ameshusha hadhi ya Marekani ulimwenguni kufuatia hutuba yake kuhusu makubaliano ya mpango wa nyuklia ya Iran

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Hillary Clinton  ambaye alikuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani amesema katika televishen ya CNN kuwa kuto shikamana Trump na makubaliano ya mpango wa nyuklia wa Iran, ni jambo si sahihi na ndio mwisho wa kuzingatiwa nafasi na heshima ya Marekani kwa walimwengu.
Aidha Clinton aliyasema hayo alipokuwa anafanya mahojiano na mwandishi wa habari wa lugha ya kiarabu katika Televishen ya CNN kwakusema kuwa kwamtizamo wangu ni kwamba kitendo anachokifanya Trump ni jambo la hatari sana kwa heshima ya serikali ya Marekani dunaini.
Hillary Clinton alisema kuwa Marekani Aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani amesema: Marekani imetawaliwa na marais mbalimbali, ama naamini kuwa rais huyo (Donald Trump) ameshusha hadhi ya Marekani kufuatia maelezo yake kuhusu makubaliano ya nyuklia ya Iran
Alimazia kwa kusema kuwa, suala hili linapekea kuzingatiwa zaidi serikali ya Iran, na indapo Iran itakuwa imeshikamana na makubaliano ya Nyukilia, kwa maana akiwa ametekeleza ahadi alizozitoa, huku tukishuhudia utekelezaji wa Iran wa mpango huo, hivyo tutashindwa kufikia lengo ambalo Iean Iran ilipaswa isishabikiwe Ulimwengu sasa itakuwa yenyekushabikiwa nasi tutakuwa wenye kubezwa, ambapo itakuwa kwa manufaa ya Iran.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky