Idadi ya waliokufa kwa ugonjwa wa kipindupindu yafikia watu 1837

Idadi ya waliokufa kwa ugonjwa wa kipindupindu yafikia watu 1837

Shirika la Afya Duniani limetangaza kuwa kutoka mwishoni mwa mwezi wa nne mwaka huu ambapo ulianza ugonjwa wa kipindupindu nchini Yemen mpaka sasa watu 1837 wamefariki katika mikoa 21 nchini humo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Shirika la Afya Duniani siku ya Ijumaa ya tarehe 21 imetangaza kuwa toka muda ulipoanza ugunjwa wa kipindupindu nchini Yemen mpaka sasa kwa uchache watu 1837 wamepoteza maisha kutokana na ugonjwa wa kipindupindu.
Shirika hilo limeongeza kusema kuwa: ugonjwa wa kipindupindu ulianza mwezi wa nne mwanzoni mwa mwaka huu nchini Yemen, ambapo mpaka kufika Ijumaa ya jana kwa mujibu wa takwimu ya mikoa 21 ilikuwa imepata ugonjwa huo kuwa ni watu 1837 wamepoteza maisha nchini humo.
Mkoa wa Alhujah uliopo kaskazini mwa magharibi mwa Yemen kumeripotiwa kuupoteza maisha watu 353 kutokana na kupatwa na ugonga wa kipindupindu na mkoa huo kuwa ndio mkowa uliokuwa na idadi kubwa ya wahanga wa ugonjwa huo, huku  mkoa wa Ibi uliopo katika mwa nchi ya Yemen umeshika nafasi ya kwa vifo vya watu 234 nchini humo.
Shirik la Afya Duniani imeongeza kusema kuwa: idadi ya watu wanaodhaniwa kupata ugonjwa huo nnhini Yemen mpaka sasa ni zaidi ya watu laki tatu na nusu katika maeneo mbalimbali nchini humo.
Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la Afya Duniani ni kwamba ugonjwa wa kipindupindu umesambaa katika mikoa 21 kati ya mikoa 22 ya mikoa yote ya taifa hio.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky