Indonesia yazuia rasmi kuingiwa waisrael nchini humo

Indonesia yazuia rasmi kuingiwa waisrael nchini humo

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa utawala haramu wa Israel ametangaza kuwa utawala wa Indonesia wametangaza rasmi kuto waruhusu Waisrael kuingia nchini humo kufuatia mauaji wanayo yanayofanwa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa utawala wa Israel ametangaza kuwa, utawala wa Indonesia kuanzia wiki iliopita wamepitisha kuwazuia waisrael kuingia nchini humo.
Serikali ya Indonesia ilipinga vikali mauaji ya yanayofanywa na waisrael dhidi ya wananchi wa Palestina katika maandamano yenye anuani ya (kurudi katika ukanda wa Gaza), msemaji huyo ameongeza kusema kuwa utawala wa Israel utatumia kila njea ya kuilazimisha Indonesia kubadili maamuzi yake.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky