Iran yakemea mashambulizi ya kigaidi ya Kabul

 Iran yakemea mashambulizi ya kigaidi ya Kabul

Msemaji mkuu wa wizara ya mambo ya nje nchini Iran amekemea mashambulizi yaliotokea leo hii katika mji mkuu wa Afghanistan akisistiza kuwa shambulio hilo la kinyama pia ni jinai kuwa dhidi ya ubinadamu

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: hayo yamesemwa na msemaji wa wizara ya mambo ya nje nchini Iran huku akikemea kuwa shambulizi la kigaidi liliofanyika leo mjini Kabul na kupelekea kuuwawa na kujeruhiwa makumi ya wananchi wasiokuwa na hatia nchini Afghanistan.
Bahramu Qasimiy baada ya kutoa rambirambi kwa serikali na taifa la Afghanistan na familia za wafiwa wote wa tukio hilo, huku sisitiza kuwa ushirikiano wa pande kitaifa na kimataifa, ambapo muda si mrefu tutashuhudia kusambaratika kwa magaidi sehemu katika ukanda wa mashariki ya kati kadhalika ulimwenguni kote.
Ripoti za awali zinaonyesha kuwa shambulio hilo limesababisha kuuwawa watu 31 na wengine 54 kujeruhiwa.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky