Israel: aturuhusu Iran kuendelea kubaki daima nchini Syria

Israel: aturuhusu Iran kuendelea kubaki daima nchini Syria

Waziri wa vita wa utawala haramu wa Israel katika maelezo yake amesema: utawala huo utafanya kila njia kuhakikisha kuwa Iran isiendelee kubaki muda mrefu nchini Syria

Shirika la habari Ahlulbayt (a.s) ABNA: hayo yamesemwa na Avigdor Liberman, waziri wa vita wa utawala haramu wa Israel alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari na kusisitiza kuwa, tutafanya kila njia kuhakikisha kuwa Iran isiwe yenye kubaki muda mrefu nchini Syria.
Aidha ameongeza kusema kuwa kuendelea kubaki kwa majeshi ya Iran nchini Syria maana yake ni hii kwamba tukubali kukabwa na Iran nchini humo, kwa upande mwengine waziri huyo mpaka sasa hajathibitisha kuhusika kwa Israel katika kushambulia kambi ya jeshi la anga nchini Syria.  
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky