Jeshi la Lebanon lashambulia vikali maeneo ya Magaidi wa Daesh

Jeshi la Lebanon lashambulia vikali maeneo ya Magaidi wa Daesh

Majeshi ya serikali ya Lebanon yameshambulia vikali maeneo wanayojificha magaidi wa Daesh, kwa makombora na Roketi katika sehemu za “Jurudi Alqaa” na “Raas Bala bak”, kaskazini mwa mashariki ya taifa hilo

Shirika la habri AhlulBayt (a.s) ABNA: majeshi ya Lebanon yamefanya mashambulizi makali dhidi ya magaidi wa kikundi cha kigaidi cha Daesh nchini humo.

Aidha majeshi hayo yamefanya mashambulizi hayo kwa kutumia makombora na Roketi katila maeneo ya Jurudil Alqaa na Raas Baalabak, kaskazini mwa mashariki ya Lebanon.

Shambulio la jeshi hilo limesababisha maafa makubwa katika safu za kikundi cha kigaidi cha Daesh huku ikiangamiza kambi za kikundi hicho kusambaratishwa kufuatia mashambulio ya majeshi hayo.

Kambi za kikundi cha kigaidi cha Daesh nchini Lebanon zilikuwa katika maeneo ya “jirdul Fakiha” pia hazikuachwa salama.

Kushambuliwa na kusambaratishwa maeneo ya kambi ziliopo katika milima ya kaskazini mwa mashariki ya Lebanon, kumepelekea kukombolewa maeneeo yaliopo mipakani mwa nchi hiyo na serikali ya Syria na kutolewa magaidi hao.

Kikundi cha wanamgambo wa Hizbullah nchini Lebanon katika kipindi cha hivi karibuni, kwa kufanya mashambulizi makali nchini humo, wamefanikiwa kutakomboa maeneo ya Jue=rudil Alarsan nchini humo na kuwasambaratisha magaidi wa Daesh na Jbhatun Nusra nchini humo.

Mpaka sasa maeneo makubwa iliopo katika mipaka ya Syria na Lebanon, yapo chini majeshi ya nchi hizo mbili na magaidi wapo katika maeneo machache ya mipaka ya nchi huyo.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky