Kaburi la pamoja lenye watu 40 lagunduliwa nchini Iraq

Kaburi la pamoja lenye watu 40 lagunduliwa nchini Iraq

Majeshi ya ulinzi ya Iraq yamegundua kaburi kubwa la watu wengi wapatao 40 weye jinsia ya kihindi katika mkoa Nineveh nchini Iraq

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Majeshi ya ulinzi ya Iraq yamegundua kaburi kubwa la watu wengi wapatao 40 weye jinsia ya kihindi katika mkoa Nineveh nchini Iraq.
Miili ilionekana katika kaburi hilo imefahamika kuwa ni yawananchi wa India waliokuwa wameuliwa na kikundi cha kigaidi cha Daesh nchini humo.
Kaburi hilo la watu wengi liko karibu na jela ya Bardush katika mji wa Musol ambapo lilionekana baada ya magaidi waliokuwa wamekamatwa na kutekwa kutoa habari hizo.
Inasemekana kuwa vyombo vya habari vya serikali ya India ya India vilisambaza habari yakupotea kwa wananchi wake 39 waliokuwa wamesafiri nchini Iraq.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Arba'een
Mourining of Imam Hossein
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky