Kamanda Qasem Sulaimani ni miongoni mwa 100 walio na athari duniani

Kamanda Qasem Sulaimani ni miongoni mwa 100 walio na athari duniani

Katika orodha ya watu 100 wa mwaka 2017 waliotajwa na jarida la Temes ambao wameonekana kuwa na atahri kubwa ulimwenguni, miongoni mwao ni kamanda mkuu wa jeshi la Quds la jamhuri ya kiislamu ya Iran Qasem Sulaimani

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: hayo yametangazwa na jarida la kimarekani la Temes ambalo kila mwaka husamaza orodha ya shahsia ziliokuwa na athari kubwa ulimwenguni.
Katika orodha hiyo ya watu 100 iliotangazwa na jarida hilo, linaonekana jina la Kamanda wa jeshi la Quds la jamhuri ya Kiislamu ya Iran (Haji Qasem Sulaimani).
Jarida hilo limeashiria kwamba Kamanda Qasem Sulaimani  kipindi ambacho kikundi cha kigaidi cha Daesh kilipokuwa kinashambulia Iraq, kamanda huyo alituma kikosi cha kuuhami mji wa Baghdadi ili magaidi hao wasiweze kuingia.
Aidha jarida hilo la Marekani katika sehemu nyingine limandika kuwa: Suleimani ni mwalimu wa propaganda za vita, ambapo katika picha kadhaa mara nyingi amikuwa akionekana akifanya mashambulizi katika sehemu mbalimblai, ambapo ndiye mpangaji wa mbinu za mashambulizi katika mashariki ya kati.
Miongoni mwa watu waliokuwa katika urodha hiyo ni “Theresa May” ambaye ni waziri mkuu wa Uingereza, Narendra Modi” waziri mkuu wa India, “Donald Trump” Rais wa Marekani “James Comey” mkuu wa FBI “Kim Jong-un” kiongozi wa korea ya Kaskazini “Xi Jinping” Rais wa China “Rodrigo Duterte” Rais wa Philippines “Vladimir Putin” Rais wa Urusi “Recep Tayyip Erdoğan” Rais wa Uturuki “ Papa Francis” kiongozi wa wakatoliki duniani “James Mattis” waziri wa ulinzi wa Marekani.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky