Kamati kuu ya masuala ya kiislamu Algeria imepitisha fatuwa ya Ayatullah Khamenei

Kamati kuu ya masuala ya kiislamu Algeria imepitisha fatuwa ya Ayatullah Khamenei

Kamati kuu ya masualaya ya Kiislamu nchini Algeria imetangaza kuipitisha fatuwa iliotolewa na Ayatullah Kamenei inayo husu kuwahishimu maswahaba na wake za bwana Mtume (s.a.w.w)

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: fatuwa hiyo imepitishwa na kamati na jopo la wanaosimamia masuala ya dini nchini Algeria na kusisitiza uharamu wa kuwadharau na kuwabetha maswhaba wa Mtume mtukufu (s.a.w.w) na kuhifadhi heshima ya wake zake.
Aidha baada ya kusisitiza kuwa suala la kuwatusi maswahaba na wake za bwana Mtume (s.a.w.w) maana yake ni kumvunjia hishima bwana Mtume (s.a.w.w) jambo ambalo liko kinyume na imani na mafunzo ya dini.
Kamati hiyo ikitoa kauli hiyo ya kuipitisha fatuwa ya Ayatullah Khamaeni kiongozi muadhamu wa jamhuri ya kiislamu ya Iran, inayo haramisha kuwabedha maswahaba na kuwahishimu wake za  bwana Mtume (s.a.w.w).
Mwisho walibainisha na kusisitiza kwamba kutolewa kwa Fatuwa hiyo kutoka kwa viongozi wakubwa wa madhehebu ya Shia ni jambo zuri ambalo ni moja ya hatua za kufikia umoja wa kiisamu.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky