Kikosi cha Fatimiyun wafika katika mpaka wa Syria na Iraq/ wasali sala kushukuru wakiwa na Kasim Sulaimani + picha

 Kikosi cha Fatimiyun wafika katika mpaka wa Syria na Iraq/ wasali sala kushukuru  wakiwa na Kasim Sulaimani + picha

Majeshi ya waafghanistan wanaolinda Maeneo matakatifu yaliopo nchini Syria katika muendelezo wake wa mashambulizi dhidi ya vikundi vya kigaidi vya Syria, wawasili katika mipaka ya nchi hiyo na Iraq huku huku wakisali sala ya kumshukuru wakiwa na kamanda Qasim Suliman


Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: majeshi ya wananchi wa Afghanistan waliopo nchini Syria kwaajili ya kupambana na vikundi vya kigaidi viliopo nchini Syria, katika muendelezo wa mashambulio yao wamefanikiwa kuwasambaratisha magaidi hao hatimaye kufika katika mipaka ya Iraq na Syria na kulazimika kusali sala ya shukurani wakijumuiaka na kamanda Qasim Sulaiman.
Majeshi hayo toka mwezi uliopita walianza mashambulizi hayo kwaajili ya kuwasambaratisha magaidi wa waliopo nchini humo, na sasa wamifanikiwa hilo na kuwasili katika mipaka ya nchi hizo mbili na kuyakomboa maeneo yoliokuwa yamekaliwa na magaidi hao katika sehemu hizo.
Mafanikio hayo yamepataka kufuatia juhudi kubwa ziliofanywa na majeshi hayo na washirika wake, huku majeshi hayo katika siku mbili ziliopita walikuwa katika hali mbaya ambapo majeshi ya Marekani yalikuwa yakiwashambulia kwa ndege, ama pamoja na hayo yote mwisho wa siku  majeshi hayo yamefanikiwa kufikia lengo lao la kukomboa sehemu hiyo.
Syria na Iraq inakilometa 600 wanazoshirikiana baina ya mataifa hayo, kabla ya majeshi ya Iraq kuanza mashambulio ya kuikomboa Musol, kikundi cha kigaidi cha Daesh kilishkuwa kimemiliki sehemu hiyo kwa ukubwa wa kilometa 400 ambapo sehemu asilimia kubwa ni yajangwa.
Kwa mujibu wa miono ya wataalamu wa maida ya vita ni kwamba; kufika mpaka Syria na Iraq, inamaanisha kuondolewa kikamilifu kikundi cha kigaidi cha Daesh sehemu ya mashariki ya Musol, kadhalika kwa kufika kwao katika sehemu hiyo maana yake ni kukata mawasiliano ya kikundi cha Daesh baina ya magaidi wa Syria na Iraq.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky