Kikundi cha kigaidi cha Daesh chawataka wanawake kwenda vitani

Kikundi cha kigaidi cha Daesh chawataka wanawake kwenda vitani

Kikundi cha kigaidi cha Daesh mara nyingi kilikuwa kikiwahusia wanawake kubaki nyumbani nakuacha kwenda vitani, ama hivi kimebadili mtazamo na kimetoa amri inayowataka wanawake nao waende vitani

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: kikundi cha kigaid cha Daesh kimewataka wanawake wa kikundi hicho kwenda kupigana vitani, hayo yamesambazwa katika jarida la mwisho la kila wiki la kikundi hicho na kusema kuwa sheria hiyo imetolewa kutokana na dharura iliopo kwa sasa.
Kabla ya hapo kikundi cha kikgaid cha Daesh kilisema kuwa wadhifa wa mwanammke ni kuwatumikia waume zao ambayo wanakwenda katika vita, nao hawaruhusiwi kwenda vitani, ambapo daima walikuwa wakiwatahadharisha wanawake kutokwenda vitani.
Amri ametoka katika hali ambayo majeshi ya Iraq na Syria tayari yalishakuwa yamekomboa maeneo makubwa waliokuwa wanamiliki magaid katika nchi hizo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky