Kiongozi muadhamu wa mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ameipongeza timu ya taifa ya mieleka ya Azadi ya Iran baada ya kupata ushinda

Kiongozi muadhamu wa mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ameipongeza timu ya taifa ya mieleka ya Azadi ya Iran baada ya kupata ushinda

Kiongozi muadhamu wa mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ameipongeza timu ya taifa ya mieleka ya Azadi ya Iran baada ya kupata ushinda kitaika mashindano ya kimataifa ya mieleka

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: “Ayatullah Sayyed Ali Khamenei” ambaye ni kiongozi muadhamu wa mapinduzi ya kiislamu ya Iran ametoa shukurani zake za dhati kwa timu ya taifa ya mieleka ya Azada kwa kuchukua ushindi wa mashindano ya mieleka ya kimataifa, ambapo ujumbe wa shukurani hizo ameutuma kwa msimamizi mkuu wa timu hiyo “Rasuli Khadim”.
 Kufuatia ushindi wa timu hiyo ya taifa katika mashindano ya mieleka duniani, ofisi ya kiongozi wa mapinduzi ya kiislamu ya Iran imetuma ujumbe huo kwenda kwa mkuu wa timu ya taifa ya mieleka nchini Iran.
Kiongozi wa mapinduzi ya kiislamu ya Iran ameshukuru juhudi za makocha wa timu hiyo na washindi wote kwa kupata ushindi huo katika mashindano ya mieleka yalifanyika katika mji wa Kirmanshaa nchini Iran.


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky