Kiongozi wa Daesh ahukumiwa kunyongwa nchini Indonesia+ picha

Kiongozi wa Daesh ahukumiwa kunyongwa nchini Indonesia+ picha

Muasisi wa kikundi cha kigaidi cha Ansaru-dawla kilichokuwa na fikra na kuungana na kikundi cha kigaidi cha Daesh nchini Indonesia amehukumiwa kunyongwa nchini humo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: mahakama kuu ya Indonesia katika mji mkuu wake Jakarta imemuhukumu mmoja kati ya viongozi wa kikundi cha kigaidi kinachofungamana na kikundi cha kigaidi cha Daesh.
Aidha kosa liliosomwa katika mahakama hiyo dhidi ya mtuhumiwa huyo ni kupanga mashambulizi ya kuripua maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.
Mtuhumiwa huyoo mwenye jina la Amani Abdulrahman “kiongozi wa kmikundi cha kigaidi cha Ansaru-dawla” nchini Indonesia kilichoo ungana na kikundi cha kigaidi cha Daesh.
Hakimu mkuu wa shtaka hilo mwisho wa kusikiliza shtaka hilo alitangaza kusema kuwa Abdulrahman ndiye aliyekuwa amepanga mashambulizi ya kuripoa maeneo mbalimbali nchini Indonesia na kusababisha mauaji ya watu nchini humo, kwa sababu hiyo amehukumiwa adhabu ya kifo na kunyongwa.


mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky