Korea kaskazini yafanya jaribio la kombora lenye uwezo wa kuishambulia Marekani

 Korea kaskazini yafanya jaribio la kombora lenye uwezo wa kuishambulia Marekani

Majeshi ya Korea kaskazini yamefanya jaribio la kombora la kuvuka mabara lenye uwezo wa kulenga shabaha iliyoumbaliwa kilometa 10000.

Shirika la habari la ABNA linaripotikuwa: Majeshi ya Korea kaskazini yamefanya jaribio la kombora la kuvuka mabara lenye uwezo wa kulenga shabaha iliyoumbaliwa kilometa 10000.

 Ufaransa imelaani vikali ufyatuaji wa kombora la masafa marefu uliofanywa na Korea Kaskazini mapema leo hii, ambapo ni kwa mara ya kwanza tangu Rais wa Marekani Donald Trump alipoingia madarakani. Sehemu ya taarifa iliyotolewa na wizara ya masuala ya kigeni ya Ufaransa leo hii imesema hatua hiyo ya Korea Kaskazini inakiuka maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Taarifa hiyo imesema Ufaransa itaimarisha mshikamano na washirika wake walioko ukanda wa Asia na Pacifiki ambao usalama wao unatishiwa na mpango wa nyuklia wa Korea Kaskazini. Serikali ya Trump imesema itatoa majibu muafaka ili kuepusha mvutano unaoongezeka. Korea kaskazini imelisifu kombora hilo kuwa linauwezo wakuisambalatisha Marekani.

Mwisho wa habari/ 291

 


Taarifa zinazohusiana

Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky