Magaidi wa Daesh wazozana kuhusu atakayekuwa kiongozi wa kikundi hicho baada ya Albaghdadiy

Magaidi wa Daesh wazozana kuhusu atakayekuwa kiongozi wa kikundi hicho baada ya Albaghdadiy

Vyanzo makini kutoka mkoa wa Nineveh nchini Iraq ametoa taarifa ya kuwepo mzozo mkubwa baina ya viongozi wakuu wa kikundi cha kigaidi cha Daesh katika mji wa Tal Afar kusu nani atakuwa kiongozi mkuu wa kikundi hicho baada ya kuangamia Abubakari Albaghdadiy.

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Vyanzo makini kutoka mkoa wa Nineveh ametoa taarifa ya kuwepo mzozo mkubwa baina ya viongozi wakuu wa kikundi cha kigaidi cha Daesh katika mji wa Tal Afar kusu nani atakuwa kiongozi mkuu wa kikundi hicho baada ya kuangamia Abubakari Albaghdadiy.
Baada ya kusambaa habari ya kuangamia Abubakari AlBaghdadiy, kiongozi wa kikundi cha kigaidi cha Daesh, wanachama wa kikundi hicho katika mji wa Tal Afar wameanza mzozo mkuwa mkubwa kuhusu suala la nani atakayeshika nafasi ya kiongozi wao aliokufa, mzozo ambao umepelekea kukamatwa wale wate wanaopinga na baadhi ya maamuzi ya wanaonga mkono baadhi ya magaidi hao.
Ripoti zinaonesha kuzuiliwa kwa magaidi wa Daesh katika mji wa Tal Afar kuwa na mkusanyiko wowote katika sehemu mbalimbali za mji huo nchini Iraq.
Inadhaniwa kuwa kunauwezekano mkubwa wa kutokea mapigano baina yao katika mji wa Tal Afar kuhusu nani anaepaswa kushika nafasi ya gaidi mkuu wa kikundi hicho cha kigaidi Abubakari Aol lbaghdadiy ilioangamia nchini Syria.
Inadaiwa kwamba kikundi cha kigaidi cha Daesh baada ya kushindwa katika mji wa u, wamechagua mji wa Tal Afar magharibi mwa mji huo kuwa ndio makao makuu ya kikundi hicho.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky