Magaidi wanne wa Daesh wakamtwa katika ukanda wa Gaza

Magaidi wanne wa Daesh wakamtwa katika ukanda wa Gaza

Majeshi ya ulinzi na usalama nchini Palestina yametangaza kukamata magaidi wanne wa kikundi cha kigaidi cha katika ukanda wa Gaza nchini humo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: habari za kukamatwa kwa magaidi kadhaa wa kikundi cha kigaid cha Daesh nchini Palestina.
Majeshi ya uslama ya Palestina yamewatia mbaroni magaidi wanne wa kikundi cha kigaidi cha Daesh ikiwemo mmoja kati yao ni kamanda wa kikundi hicho nchini humo.
“Nuru Isa” ni katika makanda wa kikudi cha kigaidi cha “Ahfadi Baitil Maqdasi” ambacho kinafungamana na kikundi cha kigaidi cha Daesh amekamatwa na majeshi ya uslama ya Palestina, gaidi huyo alikuwa akitafutwa kwa muda mrefu sana na majeshi hayo, kwa upande mwingine habari zinaelezwa yakwamba gaidi hiyo alishiriki vita kuwa upande wa magaid nchini Libya.
Kikundi cha kigaidi cha “Ahfadi Baitul Maqdas” miaka kadhaa iliopita kilitoa kiapo cha utii kwa Abubakari Albaghdadi, ambaye ndio kiongozi mkuu wa kikundi cha kigaidi cha Daesh, ambapo kikundi kilifanya jinai nyingi nchini humo baada ya kujiunga kwake na kikundi cha Daesh.
Katika miaka ya hivi karibuni mamia ya wapalestina miongoni mwa vijana wamefiri kwenda mataifa mbalimbali kama vile Syria, Libya na Iraq na kjiunga na kikundi cha kigaidi cha Daesh, ambapo hivi sasa vijana hao wako katika safu magaidi hao wakifanya hujuma dhidi ya ubinadamu.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Mourining of Imam Hossein
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky