Mahakama ya Bahrain yamuhukumu Sheikh Isa Qasim mwaka mmoja na kuporwa uraia wake

Mahakama ya Bahrain yamuhukumu Sheikh Isa Qasim mwaka mmoja na kuporwa uraia wake

Mahakam ya Bahrain yathibitika kutolewa kwa hukumu dhidi ya Ayatullah Sheikh Isa Qasim nchini humo

Shirika la habri AhlulBayt (a.s) ABNA: mahakama ya Bahrain yathibitisha kutolewa kwa hukumu mpya ya kufungwa mwaka mmoja na kunyanganwa utaifa dhidi ya Ayatullah Sheikh Isa Qasim nchini humo.
Utawala wa Alikhalifa toka mwaka uliopita ulimtuhumu Ayatullah Sheikh Isa Qasim kwa kukusanya mali kinyume na sheria kutoka kwa  wananchi wa Bahrain, ambapo mahakama ya nchi hiyo ilipelekea kutoa hukumu ya kuporwa utaifa wake jambo liliopelekea majeshi ya nchi hiyo kuizingira nyumba yake.
Aidha mahakama ya Bahrain imewahukumu wananchi wengine kumu kuwapora utaifa na kutoa Dinari mia moja za Bahrain.
Hii ni katika hali ambayo Ayatullah Sheikh Isa Qasim miaka 37 iliopita alikuwa ni mmoja kati ya wanakamati waasisi wa katiba ya nchi hiyo na kuandika sheria ya Bahrain.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky