Mahakama ya kijeshi nchini Misri yatoa hukumu ya kunyonga magaidi 17

Mahakama ya kijeshi nchini Misri yatoa hukumu ya kunyonga magaidi 17

Mahakama kuu ya Misri imetoa hukumu ya kuwanyonga magaidi 17 waliokuwa wamefanya mashambulizi na kujiripua katika makanisa nchini humo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: mahakama kuu ya kijeshi ya Misri kufuatia jinai waliokuwa wamefanya magaidi na watuhumiwa 17 waliokuwa wameshambulia Makanisa nchini humu, wamehukumiwa kunyongwa nchini humo.
Aidha mahakama hiyo imetoa hukumu ya kifungo cha Milele kwa watu 19 na watu 9 kifungo cha miaka 15 na mmoja kifungo cha mwaka mmoja kufuataia jinai hizo.
Watu walikuwa wamehusika katika kufanikisha utekelezaji wa matukio ya kushambulia la Al-abasia, shambulio ambalo lilipelekea kuuwawa wat 29, pia watuhumiwa waliokuwa wamesababisha kufanikiwa kwa tukio la kigaidi la kushambulia makanisa yaliopelekea kuuwawa kwa 27 katika matukio hayo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky