Majeshi ya Syria yawatimua magaidi Damascus

Majeshi ya Syria yawatimua magaidi Damascus

Majeshi ya serikali ya Syria yakisaidiwa na wataalamu wa kijeshi kutoka Iran yameyakomboa maeneo ya mji mkuu Damascus yaliotekwa na magaidi wanaodhaminiwa na Marekani siku moja iliopita

Shirika la habari la ABNA linaripoti kuwa: Majeshi ya serikali ya Syria yakisaidiwa na wataalamu wa kijeshi kutoka Iran yameyakomboa maeneo ya mji mkuu Damascus yaliotekwa na magaidi wanaodhaminiwa na Marekani siku moja iliopita , huku mapigano hayo ya siku mbili yakisababisha vifo vya karibu wanajeshi watatu na magaidi zaidi ya 100.

Kutekwa ghafla kwa maeneo hayo na magaidi hapo jana kuliashiria kujipenyeza kwa magaidi wanaodhaminiwa na Marekani ndani ya mji mkuu katika hali ambayo haikuonekana tangu mwaka 2012 walipoyateka maeneo kadhaa ya mji huo mkuu . Hatimaye walishindwa na majeshi ya serikali. Magaidi wanaodhaminiwa na Marekanina washirika wake wamekuwa wakijaribu kuzivunja ngome za jeshi la syria mjini Damascus kwa miaka kadhaa sasa , katika jitihada ya kuuangusha utawala halali  wa rais Bashar al-Assad.

Mwisho wa habari/ 291

 

 


Taarifa zinazohusiana

Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky